Jumapili, 27 Novemba 2016

Jifunze HTML5 Part 1 Introduction




HTML5-The language of the web. Language hii hutumiwa sana katika kutengeneza web pages/tovuti.

Katika tutorials hizi nakuonyesha namna ya kutumia html5 technology kutengeneza tovuti kwa kutumia njia nyepesi zaidi.

Hii ni video ya kwanza katika series hizi na katika video hii nakuelezea kwa ufupi kabisa html5 ni kitu gani na kwanini tunatumia html kama chagu0 letu katika kutengeneza tovuti.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Comments system

Disqus Shortname